Kesi ya Pistorious ni leo Oscar Pistorious Leo
Kesi ya Pistorious ni leo
Oscar Pistorious
Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo
ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius
yatakayachukua siku nne.
Akipitia maelezo ya upande wa mashitaka na
upande wa utetezi katika kesi hii ya mwanariadha
mlemavu wa Afrika Kusini
Aliepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila
kukusudia .
Mengi yamesemwa na raia wa A-Kusini katika kesi
hii kwamba Jaji hakuonesha uadilifu kumpata
Oscar Pestorius na hatia ya kuua bila kukusudia
badala ya kuua kwa makusudi.
BBC
Post a Comment