Header Ads

Shilole awachana wanaodai mpenzi wake ni mdogo kwake, ‘mnakuwepo chumbani kuona udogo wake?’

Shilole yuko ‘crazy In love’ ndio sababu haoni
shida kulilinda na kulitetea penzi lake na boyfriend
wake msanii Nuh Mziwanda, licha ya
kushambuliwa mara kwa mara na mashabiki
kupitia mitandao ya kijamii kuwa amempita umri.
Shishi Bybee ambaye weekend iliyopita alizindua
video ya wimbo wake ‘Namchukua’ aliyofanya
Kenya, ameamua kuwapa makavu live wote
wanaomsema mpenzi wake Nuh kuwa ni mdogo
kwake, hiki ndicho alichowajibu kupitia Instagram.
“Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani
hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm??
Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz !
Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni
mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke
ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana!
Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima
mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na
kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome!
Mnakuepogi chumban muona udogo aek”

No comments

Powered by Blogger.