Header Ads

Akon Afanya Show Congo Ndani Ya Puto Kuhofia Ebola


Ilikuepuka maambukizi ya ugonjwa wa
Ebola akiwa kwenye tamasha kubwa la
amani Congo, msanoo Akon kutoka
Marekani amefanya show ndani ya Puto
gumu la plastic huko Goma.
Kauli mbio ya show hio ilikuwa Umoja ila
alichofanya Akon kilikowa tofauti kwani
alionekana kujihadhari sana na kuguswa
na mtu yeyote kutoka nchi hio akiamini
kuna ugonjwa wa Ebola kila kona ya
Africa.

No comments

Powered by Blogger.