Header Ads

PICHA: HUYU NDIE MPENZI WAKE BEN - POL

Kama Ulikuwa Hujui Huyu Ndie Demu wake Ben Pol Mtizame Jinsi Alivyo Mzuri

Hit maker wa single ya Samboira na hata Jikubali
Msanii Ben Pol ambaye kwa upande mwingine ni
msanii ambaye hajawahi kupata skendo za
mapenzi na watu wengi hudhani kwa labda yupo
single lakin hapana Ben Pol ana mpenzi wake
aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania 2013
number mbili anajulikana kwa jina la Latifa
Mohamed,Siku za karibuni aliwahi kupost ya
mrembo huyo ambaye iliiibua fikra tofauti kwa
baadhi ya mashabiki wake kwenye mtandao wa
kijamii wa Instagram,nimekusanyia picha zake hizi
hapa

No comments

Powered by Blogger.