Header Ads

VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr.
Norman Sigela(mwenye suti nyeusi)pamoja
na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba
wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara
Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City
(kushoto)wakionesha hundi yenye thamani
ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu
yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi
na Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya
wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom
Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza
baina ya timu Mbeya City na Azam
FC,Ambapo Azam FC iliilaza Mbeya City
kwa goli moja bila na anaeshuhudia kulia
ni Katibu wa chama cha mpira wa miguu
mkoa wa Mbeya(MREFU) Seleman Harub.

No comments

Powered by Blogger.