Header Ads

KUVAA MAVAZI YA JESHI--JWTZ WATOA TAMKO KALI LEO,SOMA HAPA


JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA
TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO,
JESHI LA ULINZI LA
WANANCHI WA TANZANIA

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote
kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa
sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.
Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya
baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja
kumiliki au kuvaa sare za JWTZ.
Inakumbushwa kuwa kwa yeyote
atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare
hizo sheria itachukua mkondo wake.

No comments

Powered by Blogger.