Header Ads

INASIKITISHA: MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU - KILIMANJARO

Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa
na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa
asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji
uliopo jirani na kiwanda cha kukoboa
Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya
Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani
Kilimanjaro.
Chanzo cha kifo chake na jina lake hajafahamiki, ingawa Polisi bado wanaendelea kufanya uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo.
Wananchi walishirikiana kuupakiza mwili huo
kwenye gari la Polisi.

Michuzi blog

No comments

Powered by Blogger.