YAYA TOURE AWAKALISHA TENA AFRIKA KATIKA WACHEZAJI 23 WANAOGOMBANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA 2014
Mchezaji bora wa FIFA mwaka jana, Christiano Ronaldo pamoja na mshindi wa tuzo hiyo mara nne mfululizo 2009-2012, Andrew Leonel Messi ni miongoni mwa wananandinga 23 walioteliwa na FIFA kugombea tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014 huku klabu za Real Madrid na Bayern Munich zikiongoza kwa kuwa na wachezaji wengi katika orodha hiyo.
Katika orodha hiyo, bara la Ulaya ndilo limetawala kwa kuwa na wachezaji wengi zaidi ambao jumla
yao ni wacheza 17, Amerika ya kusini wao wametoa wachezaji 5 huku Afrika ikifanikiwa kuwa na mwakilishi mmoja tu (Yaya Toure). Mshindi wa tuzo hiyo anatarjiwa kutangazwa mwezi Januari mwaka huu.
Orodha ya wachezaji wanaogombania tuzo ya
mchezaji bora wa FIA 2014 ni hawa:
1.Gareth Bale , Wales, Real Madrid
2.Karim Benzema, France, Real Madrid
3.Diego Costa , Spain, Chelsea
4.Thibaut Courtois, Belgium, Chelsea
5. Angel Di Maria, Argentina, Manchester United
6.Mario Gotze , Germany, Bayern Munich
7.Eden Hazard , Belgium, Chelsea
8.Zlatan Ibrahimovic , Sweden, Paris Saint-Germain
9.Andres Iniesta , Spain, Barcelona
10.Toni Kroos , Germany, Real Madrid
11.Philipp Lahm, Germany, Bayern Munich
12.Javier Mascherano , Argentina, Barcelona
13.Lionel Messi, Argentina, Barcelona
14.Thomas Muller , Germany, Bayern Munich
15.Manuel Neuer, Germany, Bayern Munich
16.Neymar, Brazil, Barcelona
17.Paul Pogba , France, Juventus
18.Sergio Ramos , Spain, Real Madrid
19.Arjen Robben , Netherlands, Bayern Munich
20.James Rodriguez, Colombia, Real Madrid
21.Cristiano Ronaldo , Portugal, Real Madrid
22.Bastian Schweinsteiger , Germany, Bayern Munich
23.Yaya Toure , Ivory Coast, Manchester CityMabali
Mbali na hiyo, hii pia ni orodha ya makocha wanao gombania tuzo za ukocha bora wa mwaka
2014.
1. Carlo Ancelotti , Real Madrid
Antonio Conte , Juventus/Italy
2. Pep Guardiola, Bayern Munich
Jurgen Klinsmann , United States
Joachim Low, Germany
3. Jose Mourinho, Chelsea
Manuel Pellegrini , Manchester City
4. Alejandro Sabella , Argentina
5. Diego Simeone , Atletico Madrid
Louis van Gaal , Netherlands/Manchester United
Post a Comment