Header Ads

ADEBAYO BADO ANA USWAHIBA MKUBWA NA WANCHEZAJI WA MAN CITY, WASALIMIANA KWA "SALUTI" KABLA YA MECHI

ADEBAYO BADO ANA USWAHIBA
MKUBWA NA WANCHEZAJI WA
MAN CITY, WASALIMIANA KWA
"SALUTI" KABLA YA MECHI

Licha ya kwamba aliondakoka Etihad muda mrefu
uliopita, Emmuel Adebayo ambaye kwa sasa
anakipiga kunako klabu ya Tottenham Hospurs,
jana alionekana kuendelea kuwa na uswahiba wa
hali ya juu na wanandinga wenzake wa zamani wa
Man City.
Wakati wakielekea katika vyumba vya kubadilisha
ngua dimbanini Ethad, jana Adebayo alibahatika
kukutana na baadhi wachezaji wenzake wa
zamani wa Man City katika moja ya korido za
vyumba hivyo vya kubadilishia nguo ambapo
walianza kusalimiana kwa mitindo tofauti tofauti
ikiwo "saluti"
Man City waliweza jana kutumia vyema uwanja
wao vizuri baada ya kumtafuna Tottenham
Hospurs kwa magoli 4-1 na kuendelea kuwa
katika nafasi ya pili alama tano nyuma ya vinara
wa ligi hiyo Chelsea.

No comments

Powered by Blogger.