Header Ads

Ukwel kuhusu; Wafuasi wa CUF Wapigwa Mabomu, Prof.Lipumba Ajeruhiwa - Dar

Habari zilizotufikia Punde:

Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba yaliyotokea mwaka 2001.

Aidha, mwenyekiti wake Profesa Ibrahimu Lipumba nimiongoni watu waliokubwa na kadhia hiyo ya kupigwa mabomu ya machozi eneo la Temeke jijini Dar es Salaam.

Kwa habari zaidiEndelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina.

CHANZO: ITV TANZANIA

No comments

Powered by Blogger.