Header Ads

PICHA; SURA MPYA YA UKAWA NA KATIBA, VIWANJA VYA JANGWANI LEO

Watanzania wengi sana waliojitokeza hgapa katika viwanja vya jangwani wakitaka kushughudia tukio la kihistoria katika siasa za Tanzania ambapo inasemekana kuwa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wanachi Tanzania UKAWA leo watasaini makubaliano rasmi ya kushirikiana katika chaguzi zote zinazokuja.

Hizi ni picha za awali za tukio hilo ambalo linaendelea hapa viwanja vya jangwani na litarushwa na ITV pamoja na vituo vingine vingi, tutakuletea tukio nzima baadae hapa hapa mtu wangu

No comments

Powered by Blogger.