Header Ads

AJINYONGA BAADA YA KUPATA MAJIBU KUWA ANA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI - SHINYANGA


Ndugu Issa Ramadhani (36) mkazi wa majengo
Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu
la kujinyonga chumbani kwake kwa kile
kinachodaiwa kwenda kupima na kuonekana
majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya
ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia
kamba ya katani alimtuma mkewe kwenda kwa
wazazi wake huku nyuma akachukua jumkumu la
kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa
NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya
mkononi ikiwa kitandani 

No comments

Powered by Blogger.