Header Ads

Breaking News: Chid Benz Akamatwa na Madawa ya Kulevya Airport

Breaking News: Mwimbaji
Chid Benz Akamatwa na
Madawa ya Kulevya Airport

Kuna Taarifa kuwa Msanii Chid Benzi amekamatwa na Madawa ya kulevya Airport ambapo alikuwa anaelekea Mbeya Kufanya Show ..Amekamatwa na Kete Kumi na nne za madawa ya kulevya , pia na Bangi Misokoto miwili ambazo zilikuwa katika mfuko wake wa Shati ...

Baada ya kuhojiwa inasemekana Chid Alijitetea kwa kusema ni kwa ajili ya matumizi yake Binafsi , Chid kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.


Udaku Specially

No comments

Powered by Blogger.