Header Ads

Video: Je, unafaham madhara ya nyama ya Nguruwe?

Ulaji nguruwe
Kumekuwa na mjadala mkali kuhusu uhalali wa
kula nyama ya nguruwe katika maeneo mengi
duniani huku wataalam wa lishe, afya na wanyama
wakitofautiana kuhusu madhara ya kula mnyama
huyo…Juma lililopita nilitembelea mji wa Mwanza
kaskazini magharibi mwa Tanzania ambapo
nilifanya mazungumzo na mtu mmoja ambaye
amekuwa anakula nguruwe kwa miaka 40 sasa.

Bofya hapa kutazama; BBC

No comments

Powered by Blogger.