Header Ads

FAHAMU: ALICHOSEMA NASH MC, KUHUSU SHOW YAKE LEO - DAR

Kupitia ukurasa wake wa facebook Nash Mc Zuzu, ameandika ujumbe kuhusu show nzima ya itakayofanyika leo kuanzia saa 8 mchana, kwenye ukumbi wa chuo cha Bandari, Temeke.

Soma hapa chini alichosema;

"Haya wale mlioenda kwenye show ya play back
jana njooni leo Mwembe yanga viwanja vya chuo
cha Bandari mje muone show za kibabe.
Hakuna play back kule watu wanautoboa mdundo
live kama juice ya kijoti.... Ni kuanzia saa 8
mchana kwa buku 4 tu Mlangoni.
Ni#nashmctemekeshow Ukikosa usilaumu
mtu

Bila vibao hivi nitadai chenji
# vina_mpk_uchina
# temeke
# asiehusika
# hakuna_anayetudai
# zimaa

NashmcTemekeShow , Nash Mc pamoja na
wasindikizaji wote bila kujisahau nasi mashabiki
wa Hiphop nawatakia maandalizi mema kuelekea
siku ya leo"

Nash Mc Zuzu

No comments

Powered by Blogger.