Header Ads

MISS TZ AKALIWA KOONI, SASA WATU WATAKA AVULIWE TAJI, KITAMBURISHO HIKI HAPA KAZALIWA MWAKA 1989

MISS TZ AVULIWE TAJI
Haya wamempa taji kwa kujuana na baba yake.
Sasa tunaomjua na ambao tumesoma nae
sekondari tumewaletea proof kuwa ni mkubwa . na
hakuruhusiwa kushiriki miss tz. Ana Miaka 25
kuelekea 26 . Records zake zote za marekani
zinaonyesha ana miaka 25 sasa imekuwaje kurudi
Tanznaia kawa na miaka 18 . Huyu miss anatakiwa
kuvuliwa taji mara moja na mshindi wa pili apewe
hilo taji . wajue kuwa huu ushahidi tunautuma
mpaka kwa kamati ya MISS WORLD wasitufanye
wajinga . Huyu dada tumemaliza nae form 6 2007
hivi anakuwaje na miaka 18 leo hii ? okay hata
angesema ana miaka 22 ambayo ni limit ya
kushiriki miss TZ still ni uongo na ushuzi mtupu.
Na uzuri huku marekani kila kitu kinabaki online na
ndio vinamuumbua . Na records zake za chuo kikuu
hapa marekani pia zinasema she is turning 26.
vichwa wa jamii forums wamempigia hesabu ya
age yake na elimu yake na matokeo ndo haya 18yrs
of ageMinus 2yrs masters 3 yrs bachelor = 13yrs of
ageMinus 6yrs secondary education = 7yrs of
ageMinus 7yrs primary education = 0yrs of
ageMinus 2yrs nursery school = - 2yrs of ageMinus
3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5
yrs of ageSo ur friend jus conjured a new miracle, ,
alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwaHuyo ni Miss
Tz wetuuu … Bado tu wanamwandama miss tzkwa
maana hiyo huyu mwenzetu yeye alianza shule 5
yrs kabla hajazaliwa . Lundenga miss wako kakiuka
masharti ushahidi huo hapo juu. Lakini kwa vile
umeshakula pesa za Mtemvu utajidai sio kweli .
Basi tunaomba uonyeshe kuwa sio kweli kwa
kutoa passport ya huyu binti hadharani . Hapana
hatutaki passport mpya iliyotengenzwa mwaka
huu. Tunaomba passport yake aliyoingia nayo
marekani iwekwe hadharani . Hapo hapo tutaomba
na records zake za DMV huku marekani ziwekwe
hadharani. Huko miss world mnaenda kujiaibisha tu
mwaka tu mwaka huu, tumeshawastua. All in all
Lundenga tunaomba utoe tamko rasmi kuhusu hili
na utuonyeshe Passport ya siti aliokuwa anaitumia
marekani. Hatutaki kuona passport mpya all
peoples knows in Tanzania you can make passport
in any age you need . MEDIA HOUSE TUNAOMBA
MTOE SUPPORT KWA HILI . MKIMBIZENI LUNDENGA
HADI TOILET MPAKA AONYESHE OLD PASSPORT
YA SITTI WASITUFANYE WATANZANIA WAJINGA
NAMNA HIYO. WANASIASA
WATUTAPELI , LUNDENGA NAE ATUTAPELI
HAIWEZEKANI . YEYE SI ALIDAI SITI
HAKUPENDELEWA HAYA SASA AMEKIUKA
MASHARTI AMVUE TAJI . HAPO ATASEMA NINI
TENA? MWEEEEEH , HILI BALAA SASA. HUKO INSTA
SASA WASHARUSHA HII . JAMII FORUMS NDO
WAMETOA NA CALCULATOR ZAO KABISA
WANAPIGA HESABU… . HAHAHAHAH
Source : www . u -turn. co . tz

No comments

Powered by Blogger.