Header Ads

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA LEO


Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha
kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo
masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya
maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa
yanajadiliwa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akizungumza na waandishi wa habari nje ya
ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza
juu ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16,
2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha
siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini ya
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea
kimapato na kiuchumi.

No comments

Powered by Blogger.