Header Ads

PICHA; TRENI YAANGUKA JIJINI DAR ES SALAAM

Treni imeangusha behewa maeneo ya Vingunguti jijini Dar es salaam. Habari zinasema kuwa reli imeharibika vibaya, Muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo ffu walifika eneo la tukio ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unakuwepo, Walioshuhudia tukio hili wanasema katika eneo hilo kulikuwa na kontena za mohamed enterprises na Azam, Chanzo kinatajwa kuwa ni kukatika kwa Pin Lock.

No comments

Powered by Blogger.