Header Ads

BREAKING NEEEWS..!! DEREVA WA SEMI AFARIKI BAADA YA GARI LAKE KUGONGANA USO KWA USO NA COSTER - KAHAMA

Inasemekana dereva wa semi hiyo amefariki huku
dereva aliyekuwa akiendesha Coster akivunjika
mguu baada ya magari haya kugoganga usiku huu
katika eneo la Trans Oil Wilayani kahama katika
barabara kuu iendayo nchi jirani za Burundi,
Rwanda na Uganda.

kwa habari zaidi;Kijukuu blog

No comments

Powered by Blogger.