Header Ads

Hemedy Azungumzia Utengenezwaji Wa Video Yake Mpya 'The One' Ndio Video Bora Kuliko Video Zake Zote

Hemedy Azungumzia Utengenezwaji
Wa Video Yake Mpya 'The One' Ndio
Video Bora Kuliko Video Zake Zote

Hemedy amezungumzia video yake mpya amesema anaamini hii ndio video bora kuliko zote kwenye maisha yake ya muziki.

Hemedy amesema “mambo aliyotaka kwenye video yake bora
kwenye muziki ameyafanya na ameyapata, Kuanzia Video queen,chakula,usafiri, kampuni
aliyofanya nayo, Aliyeshirikishwa,Location
vyote sawa, Asilimia 99.5, Video imegharimu milioni 6.5”.

Kuhusu kufunga ndoa na tarehe ya harusi.

“Ilitakiwa iwe November
2014 ila mambo ya movie na safari
yameingiliana sasa napanga tena tarehe ila ni
siku za karibuni tu” Hemedy amesema!.

No comments

Powered by Blogger.