Header Ads

Picha: Missy Elliott auonesha mwonekano wake wa sasa baada ya mwili wake kupungua sanaaa!


Rapper Missy Elliot ameshare picha ya muonekano
wa mwili wake ulivyo hivi sasa, baada ya kupungua
kwa kiasi kikubwa sana hadi unaweza usimtambue
kwa haraka.
Mwonekano wa sasa wa Missy Elliott
Katika picha hiyo aliyoipost Instagram aliandika
“Just got off stage thanks @ALEXANDERWANGNY
and @hmusa for having me perform I enjoyed.”
Muonekano wa 1998
Elliot (43) alihudhuria na kutumbuiza kwenye
Alexander Wang’s H&M launch huko New York wiki
iliyopita.

No comments

Powered by Blogger.