Header Ads

PAPA FRANCIS AWAPA BARAKA ZAKE BAYERN MUNICH BAADA YA KUUA 7-1 - ULAYA

PAPA FRANCIS AWAPA BARAKA ZAKE BAYERN MUNICH BAADA YA KUUA 7-1 ULAYA

KUFUATIA ushindi wa 7-1 wa Bayern Munich dhidi ya AS Roma katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne usiku, msafara mzima wa timu hiyo ulimtembelea Papa Francis Jijini
humo.

Jumatano jioni kufuatia ushindi wao huo Uwanja wa Stadio Olimpico usiku uliotangulia, Bayern walimtembelea Papa
Vatican na kumpa zawadi mbalimbali, ikiwemo jezi ya timu hiyo iliyosaidiwa na mpira.

Papa aliwahutubia wachezaji na msafara mzima wa timu hiyo kabla ya kuwachana nao katika tukio hilo la kihistoria.

No comments

Powered by Blogger.