Header Ads

MESSI, NEYMAR WOTE WAFUNGA BARCA IKIUA 3-0 LA LIGA NA KUPAA ZAIDI KILELENI

MESSI, NEYMAR
WOTE WAFUNGA BARCA IKIUA 3-0 LA
LIGA NA KUPAA ZAIDI KILELENI

BARCELONA imeshinda mechi yake ya saba
kati ya nane za mwanzo za La Liga msimu
huu, kufuatia kuilaza mabao 3-0 Eibar usiku
wa jana.
Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo,
Xavi dakika ya 60, Neymar dakika ya 72 na
Lionel Messi dakika ya 75.
Kikosi cha Luis Enrique sasa kimecheza
mechi nane bila ya kuruhusu nyavu zake
kuguswa, kikiwazidi kwa pointi nne wapinzani
wao, Real Madrid kileleni mwa La Liga.
Kikosi cha Barcelona kilikuwa: Bravo, Alves,
Pique, Mathieu, Alba, Mascherano, Sergi
Roberto/Iniesta dk55, Xavi, Pedro/Sandro
dk71, Messi na Neymar/Munir dk76.
Eibar: Irureta, Lillo, Ekisa, Boveda, Albentosa,
Abraham, Errasti, Dani Garcia, Javi Lara,
Capa/

Msimamo wa ligi;

No comments

Powered by Blogger.