Header Ads

MIPANGO YA MWISHO YA WENGWE KABLA YA KAZI YA LEO USIKU

Kocha Arsene Wenger, jana alitumia muda wake mwingi kuzungumzia masuala ya ufundi huku akikumbushia Arsenal inapokutana na timu za Kijerumani.

Wenger amewaeleza vijana wake kuhusiana na nini cha kufanya kiufundi akiamini Borussia Dortmund si timu ya lelemama.
Arsenal iko ugenini kuwavaa Dortmund katika mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana na ugumu wa wakali hao.

No comments

Powered by Blogger.