Header Ads

LIVERPOOL YAKABIDHIWA KWA SWANSEA, MAN CITY NA NEWCASTLE, CHELSEA YAPATA VIBONDE RAUNDI YA NNE CAPTAL ONE

TIMU ya hadhi ya chini iliyobaki katika Kombe la Ligi, Shrewsbury Town, itamenyana na timu ya Ligi Kuu ya England, Chelsea katika raundi ya Nne ya michuano hiyo.
Timu hiyo ya Daraja la Pili, Shrews, ambayo imeitoa Norwich ya Daraja la Kwanza katika raundi iliyoalizika usiku huu, itakuwa mwenyeji wa The Blues iliyoichapa 2-1 Bolton usiku wa Jumatano. 


RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA LIGI ENGLAND...

Tottenham Hotspur vs Brighton
Stoke vs Southampton
Bournemouth vs West Brom
Shrewsbury vs Chelsea
Liverpool vs Swansea
MK Dons vs Sheffield United
Manchester City vs Newcastle United
(Mechi zitachezwa wikiendi ya Oktoba 27, 2014 

No comments

Powered by Blogger.