VIDEO: UONE JINSI WAANDISHI WA HABARI TANZANIA WALIVYOSHAMBULIWA NA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
Siku
moja baada ya makamu wa rais Dkt Mohamed Ghalib bila kuhimiza mahusiano
mema wakati wa utendaji kazi baina ya vyombo vya ulinzi na usalama na
vyombo vya habari ,jeshi la polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa
limekiuka kauli hiyo kwa kuwapiga na kuwajeruhi baadhi ya waandishi wa
habari na kuwazuia kutekeleza wajibu wao wakati mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo Chadema alipowasili katika makao makuu ya jeshi
hilo kwa mahojiano.

Kivumbi
hicho kilitokana na Jeshi la Polisi kutaka kuzuia maandamano
yaliyotangazwa na Chadema mikoa yote nchini bila kikomo kwa lengo la
kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK)
ANGALIA HAPA

Post a Comment