Header Ads

RONALDO APIGA NNE REAL IKIUA 5-1 LA LIGA, SASA ANA HAT TRICK 25 LOS BLANCOS

  Cristiano Ronaldo na Gareth Bale wakishangilia ushindi wao wa  5-1 jana
 
NYOTA Cristiano Ronaldo amepiga hat-trick yake ya 25 akiwa na Real Madrid kikosi cha Carlo Ancelotti kikifikisha mabao 18 katika mechi tatu kufuatia ushindi wa 5-1 dhidi ya Elche katika La Liga.
Ronaldo alifikisha mabao nane ndani ya wiki na baada ya mechi alipoulizwa kama bado ana furaha Madrid alisema."Mambo yanakwenda vizuri na zaidi binafasi na timu inafunga mabao, inashinda mechi na kucheza vizuri.’ 
Alipoulizwa kuhusu kauli ya karibuni ya Jose Mourinho kwamba wawili hao kwa sasa hawana uhusiano tena, "Si juu yangu kuzungumza mambo kama hayo, nafikiria juu ya kile tunachokifanya uwanjani," amesema. 
Wageni walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Albacar Gallego kwa penalti ya utata iliyotolewa na refa Carlos Gomez, lakini Gareth Bale akasawazisha akimalizia krosi ya James Rodriguez kabla ya Cristiano Ronaldo kufunga mabao manne, mawili ya penalti na kufikisha hat-trick 25 akiwa na Los Blancos.

 
Elche forward Edu Albscar (R) scores a controversial penalty past Keylor Navas to open the scoring
Bale wheels away in celebration after bringing Real Madrid back on level terms at the Bernabeu
Ronaldo scored in his 13th consecutive home game after  another controversial penalty
Albácar Gallego points to the sky after giving Elche a surprise lead from the penalty spot
Bale equalised only four minutes later with a towering header from James Rodriguez's cross
The former Tottenham Hotspur winger issues his trademark 'heart-shaped hands' goal celebration
New signing Keylor Navas (above) makes an acrobatic save while Iker Casillas watched from the bench
Ronaldo strenghthened his reputation as one of the best headers in the game with a bullet second goal
Real defender Sergio Ramos (L) has a headed effort on goal during the first-half

Real Madrid players celebrate with Ronaldo en route to victory in front of their home fans
Ronaldo gets his fourth and final goal of the night after a break away in the dying minutes
Ronaldoakifunga bao lake la nne

No comments

Powered by Blogger.