PICHA: SERENGETI FIESTA IRINGA GUMZO LA MWAKA
kuamkia leo Iringa.
TAMASHA la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuakia leo ilikuwa ni gumzo la mwaka kwa wakazi wa pande hizo kutokana na kufurika katika shoo iliyofanyika ndani ya Uwanja wa Karume uliyopo mjini hapo ambapo kulikuwa na makamuzi kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Tamasha hilo lilifunguliwa kwa wasanii wachanga kupanda jukaaani kama vile K-Star,G-Luck, Edu Boy, Baraka na baadaye kete ikageuka kwa kumpandisha msanii anayetamba na kibao cha Basi Nenda, Mo Music ambaye alipagawisha uwanja mzima kabla ya kushuka na kuwapisha Makomandoo ambao pia walipiga shoo ya nguvu. Baadaye walipanda wakongwe kama vile Vanessa Mdee, Mr Blue, Young Killer, Linah, Ommy Dimpoz, God Zillah na Afande Sele.
Shoo ilikuwa ya shangwe mwanzo mwisho na iliendelea hivyo hadi alipopanda Juma Kassim Nature aliyefunga burudani hizo.

Post a Comment