Header Ads

LIVERPOOL, EVERTON HAKUNA MWENYEWE, YAMALIZIKA KWA SARE YA 1-1

 
LIVERPOOL imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Everton Uwanja wa Anfield, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Steven Gerrard alitangulia kufunga bao la kuongoza kwa Liverpool kwa shuti kali la mpira wa adhabu dakika ya 65, kabla ya Phil Jagielka kufunga la kusawazisha dakika ya 90.   Everton walilalamikia kunyimwa penalti wakati Alberto Moreno alipomuangusha kwenye eneo la hatari Romelu Lukaku na Liverpool walilalamika Gareth Barry aliunawa mpira kwenye eneo la hatari, lakini refa Martin Atkinson akapeta.

Kikosi cha Liverpool: Mignolet, Manquillo, Lovren, Skrtel, Moreno, Gerrard, Henderson, Markovic, Lallana, Sterling, Balotelli
Substitutes: Jones, Toure, Enrique, Lucas, Suso, Coutinho, Lambert
Goals: Gerrard

Kikosi cha Everton: Howard, Hibbert, Baines, Jagielka, Stones, Barry, McCarthy, Besic, Mirallas, Naismith, Lukaku
Substitutes: Robles, Gibson, Eto'o, McGeady, Browning, Osman, Alcaraz












27 Sep 2014

No comments

Powered by Blogger.