Header Ads

FLOYD MAYWEATHER AONESHA MSULI ALIONAO...CHEKI MADOLAHAYO....


Floyd Mayweather posted an instagram picture with a million dollars and wants to sell a lifestyle
BONDIA mkali, Floyd Mayweather mwenye miaka 37 ameendelea kuonesha jeuri yake ya fedha baada ya kuposti picha katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram akiwa amelala kitandanni, akisikiliza muziki, huku akiwa ameweka mamilioni ya dola.

No comments

Powered by Blogger.