Header Ads

PICHA: Nyagumi Akutwa Ufukweni, Pemba kijiji shamiani

Nyangumi aliyepwerewa katika ufukwe wa bahari ya Pemba Wilaya ya Mkoani akiwa na urefu wa mita 45  na upana mita 25 akiwa mkatika ufukwe wa shamiani Pemba wananchi wakikata mapande ya mnofo wake, 
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Nyangumi huyu wananchi wakifanya kazi yao kukata minofo ya nyangumi huyu kwa ajili ya kupata mafuta ya nyangumi..


 Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi alieonekana Pemba akiwa ameaguka ufukwe wa bahari wa shamiani 
Wananchi wakikata minofu ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo

No comments

Powered by Blogger.