Header Ads

LIVERPOOL YAING'OA MIDDLESBROUGH KATIKA CAPITAL ONE CUP KWA PENALTI 14-13

 
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wao jana
KLABU ya Liverpool imeifunga Middlesbrough kwa penalti 14-13 katika Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 Uwanja wa Anfield.
Kinda Jordan Rossiter alianza kuwafungia Wekundu hao baada ya kupewa nafasi ya kwanza kuchezea kikosi cha kwanza, kabla ya Adam Reach kuwasawazishia wageni akimalizia pasi ya Grant Leadbitter.
Mchezo huo ulihamia kwenye muda wa nyongeza kufuatia timu kumaliza zikiwa zimefungana 1-1 baada ya dakika 90. 
Mario Balotelli akipambana jana Anfield 

LIVERPOOL (4-2-3-1): Mignolet 6: Manquillo 6, Toure 6.5, Sakho 5, Enrique 6: Rossiter 7 (Williams 79mins), Lucas 6: Sterling 7, Lallana 6, Markovic 5: Lambert 6 (Balotelli 74mins)
UNUSED: Jones (GK), Moreno, Borini, Suso, Skrtel, Balotelli, Williams
Booked: Sakho
Scorer: Rossiter 

MIDDLESBROUGH (4-4-2): Blackman 6: Fredericks 7, Ayala 7, Omeru 6.5, Friend 7: Adomah 7, Clayton 7.5, Leadbitter 8.5, Reach 7.5: Tomlin 8, Kike 7 (Wildschut 76mins).
UNUSED: Konstantopoulos (GK), Gibson, Husband, Vossen, Bamford, Nsue, Wildschut
Booked: Omeru
Goals: Rossiter (10), Reach (62) 
Attendance: 41,857
Referee: M Jones 7
Man-of-the-Match: Grant Leadbitter.
 
Suso akafunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na Liverpool kuwapatia bao la kuongoza Wekundu hao, lakini Kolo Toure akacheza rafu ndani ya boksi  na

Patrick Bamford akaenda kusawazisha dakika za lala salama na katika penalty Liverpool ikashinda 14-13 baada ya Albert Adomah kupoteza mkwaju wa Boro.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa; Mignolet, Manquillo, Toure, Sakho, Enrique, Rossiter/Williams dk79, Lucas, Sterling, Lallana, Markovic na Lambert/Balotelli dk74.
Middlesbrough; Blackman, Fredericks, Ayala, Omeru, Friend, Adomah, Clayton, Leadbitter, Reach, Tomlin na Kike/Wildschut dk76.












Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wao jana

No comments

Powered by Blogger.