Header Ads

Mafunzo Yaichapa Malindi goli 4 - 1, Uwanja wa Amaan


 Benchi la wachezaji wa hakiba wa timu ya Malindi wakiwa na majonzi baada timu yao kufungwa na timu ya Mafunzo, Ambapo ilikiwa nyuma kwa mabao 2--0  kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
                  Mchezaji wa timu ya Mafunzo akimpiga chenga beki wa timu ya Malindi,
 Beki wa timu ya Malindi akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Mafunzo imeshinda 4--1

 Kocha msaidizi wa timu ya Mafunzo Edo akitowa maelekezo kwa wachezaji wake ikiwa mbele kwa mabao 2--0 dhidi ya timu ya Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.  
 Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akikokota mpira huku beki wa timu ya Malindi akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Mafunzo imeshinda 4--1 
Kocha Mkuu wa Timu ya Mafunzo Hemed Morocco akitowa maelezo kwa wasaidizi wake wakati wakifuatilia mchezo wao na timu ya Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya mafunzo imeshinda 4--1
                  Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya Malindi
 Kiongozi wa timu ya Malindi Kau akiwa na mshangao baada timu yake kukubali kufungwa na timu ya Mafunzo katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika uwanja wa amaan kwa kipigo cha mabao 4--1
 Mchezaji wa timu Malindi akijiandaa kumpita beki wa timu ya Mafunzo uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Mafunzo imeshinda 4--1. 
 Mchezaji wa timu ya Malindi akimpita beki wa timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu, timu ya Zimamoto imeshinda 4--1 mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.

 Rais wa Chama cha Mpira Zanzibar ZFA akizungumza na viongozi wa timu ya Miembeni wakiwa katika jukwaa la VIP wakati wa mchezo wa ligi ukiendelea kati ya Malindi na Mafunzo jana.

No comments

Powered by Blogger.