Header Ads

FAHAMU: JAMBO KUBWA ALILOLISEMA JCB MAKALLA KUHUSIANA NA NASH MC ZUZU



Kupitia ukurasa wake wa Facebook Jcb makalla anaetoka kundi la Watengwa, aliamua kutoa yake ya moyoni kutokana na kuguswa na kile ambacho amekuwa akikifanya msanii wa Hip Hop Nash Mc Zuzu anayetoea Tamaduni Music. 
Hiki ndicho alichokiandika JCB
 "Kusema ukweli hizi ndo harakati na zinatakiwa sapoti Binafsi nakubali harakati za Nash Mc Zuzu"

No comments

Powered by Blogger.