CHEKI UZI MPYA WA MUNICH 1860, NI WA AINA YAKE
Timu hiyo iliyo daraja la
pili inapambana kurejea Ligi Kuu Ujerumani na imekuwa ikitumia uwanja mmoja na
ndugu zao Bayern Munich.
Jezi hizo zinafanana na
vazi la asili la Ujerumani, kama lile ambalo hupenda kuvaa Bayern wanapokuwa
wametwaa ubingwa, halafu ‘wanakula’ pombe sana.
Vazi hilo linajulikana kama
lederhosen na ukifikia wakati wa kulivaa, basi ni ‘bata’ na ‘kilaji’ kwenda
mbele. Sasa wao wameliweka kwenye jezi.
WAKIWA KWENYE UZI WAO WA KAWAIDA. |
Post a Comment