Header Ads

VIDEO: Jeshi la polisi lawashushia kipigo wafuasi wa Chadema Morogoro.


  
 Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewashushia kipigo baadhi ya wafuasi wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema na kutumia mabomu kuwatawanya wanachama waliokuwa wakijiandaa kufanya maandamano katika ofisi ya Chadema mtaa wa Ngoto mjini Morogoro.

No comments

Powered by Blogger.