Header Ads

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 16/09/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/09/2014.
[Mikoa ya Kagera na Geita]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam , Pwani, Morogoro, Lindi na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu na mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Rukwa ]:
[Mikoa ya Mtwara,  Iringa, , Njombe na Mbeya]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora na Ruvuma]:
 [Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
14°C               
12:30
12:31
D'SALAAM
28°C           
20°C           
12:19
12:20
DODOMA
29°C
17°C
12:43
12:34
KIGOMA    
32°C
18°C
12:57
12:58
MBEYA
26°C
09°C
12:44
12:42
MWANZA
30°C
20°C
12:43
12:46
TABORA
31°C
19°C
12:45
12:46
TANGA
31°C
23°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
29°C           
22°C           
12:19
12:20
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
                                   
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 17/09/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/09/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments

Powered by Blogger.