Home>
Unlabelled
> HABARI YA KUSIKITISHA !!! ASKARI WA USALAMA BARABARANI ALIYEGONGWA NA DALADALA AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.
HABARI YA KUSIKITISHA !!! ASKARI WA USALAMA BARABARANI ALIYEGONGWA NA DALADALA AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.
WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali. ASKARI wa usalama
barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki,
aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za
kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es
Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Post a Comment