Header Ads

Vyama visivyo na wabunge vyaungana, Kutunisha msuli UKAWA na CCM

Mwenyekiti wa chama cha UPDP na aliyekuwa mjumbe wa bunge maalum la katiba Mhe.

Fahmi Dovutwa akitoa taarifa ya ushirikiano wa vyama sita vya siasa visivyo na wabunge katika uchaguzi wa serikali za mitaa, wabunge na rais unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.

Hatimaye vyama sita vya siasa visivyokuwa na wabunge vimeungana ili kushirikiana katika chaguzi zijazo ikiwamo uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utaanza hivi karibuni.

Mwenyekiti wa muda wa muungano
huo,Yusuphu Manyanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa SAU-Taifa alisema kuwa muungano huo una lengo la kukabiliana na ushindani uliokuwamo kati ya UKAWA na CCM.

Alivitaja vyama hivyo kuwa ni UND, SAU, DEMOCRASIA MAKINI, UPDP, JAHAZI HASILIA na AFP.

No comments

Powered by Blogger.