Header Ads

Mirror kuachia video mbili kwa mpigo November 30

Msanii ambaye anasimamiwa na kampuni ya Endless Fame Films ya Wema Sepetu, Mirror anatarajia kuchia video mbili mpya kwa mpigo
baada ya kutoonekana kwenye runinga na video mpya toka mwaka huu umeanza.

Kupitia Instagram Endlessfame wameandika:
Novemba 30 ndani ya New Maisha Club Dar es
salaam @mirror26 kutoka @endlessfame
atadondosha Video viwili Vipyaaaaa me nawe
hatutakiwi kukosa ama vipi??? Nakukumbusha
#Team nzima ya @endlessfame itakuwepo pale @wemasepetu @martinkadinda@petitman_wakuache @bestizzo @ricndeki ndaniiiiiiiiii

Mwezi May, 2014 Mirror alipata nafasi ya kufanya collabo na msanii mkubwa wa Uganda Jose Chameleone wimbo ambao ulirekodiwa AM Records, na katika moja ya mahojiano ya radio
aliahidi kuifanyia video kabla haujatoka.

Mwezi August Mirror pia aliahidi kutoa video ya single yake ‘Kolokolo’ ambayo mpaka sasa video hiyo ilikuwa haijatoka.

No comments

Powered by Blogger.