Header Ads

Breaking News: Ngumi za Ibuka kwenye mdahalo mkubwa kujadili katiba inayopendekezwa

Mdahalo mkubwa ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere wakatishwa ghafla baada ya kuibuka ugomvi mkubwa.

Watu wasiofahamika walisimama na Mabango yaliokuwa
yanaonyesha kukubaliana na katiba
inayopendekezwa wakati mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Waziri mkuu mstafu Jaji Warioba alipokuwa anahitimisha hotuba yake kama mchangiaji wa kwanza.

No comments

Powered by Blogger.