Header Ads

PICHA; MGOGORO WA KUGOMBEA ENEO LA MALISHO, SIHA-KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ameliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la
Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones amezungumza na wanahabari katika eneo la tukio.

No comments

Powered by Blogger.