Header Ads

MISS TANZANIA MPYA APIGWA JUNGU KUWA NI RAIA WA RWANDA ... MWENYEWE AFUNGUKA

NI balaa juu ya balaa! Miss Tanzania mpya wa mwaka 2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima, amejikuta akimwaga
chozi kufuatia kuanza kusakamwa kwa madai kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda kwa kuzaliwa wazazi wake.

Miss Tanzania mpya wa mwaka 2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima.

Hali hiyo ilimpata juzikati aliposakwa na paparazi wetu aliyetaka ufafanuzi kutoka
kwake kwamba hata yeye hana sifa ya kuwa Miss Tanzania 2014 kwa vile si raia wa Tanzania, achilia mbali Sitti aliyedaiwa kudanganya umri.

No comments

Powered by Blogger.