Header Ads

KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI - KAHAMA

KIJANA mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto wakati akiwaibia abiria walipata ajali na basi la Wibonela leo asubuhi maeneo ya kona ya Phantom, Kahama.

Kibaka huyo ameuawa na watu wenye hasira kali waliofika eneo la ajali kutoa msaada kwa abiria.

No comments

Powered by Blogger.