Header Ads

PAMOJA NA KUCHEMSHA JANA, LAKINI YAYA TOURE ALIPIGA BONGE LA BAO, CHEKI MWENYEWE


Pamoja na kuwa hakufanya vizuri
katika mechi ambayo Man City imelala kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani dhidi ya CSKA ya Moscow, Yaya Toure alifunga bonge la bao.

Katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi,
Toure raia wa Ivory Coast alifunga bao hilo safi kwa mkwaju wa adhabu na tayari limeingia kwenye idadi ya mabao gumzo kwenye
hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, msimu huu.

No comments

Powered by Blogger.