Header Ads

BABA MSUVA AAWATAKA SIMBA WAMWACHE MWANAYE, AELEZA ALIVYOMPELEKA KWA KABURU AKAMTOSA

Baba wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ambaye ni
Happygod Msuva ameeleza kushangazwa na taarifa kuwa Simba inataka kumsajili mtoto wake.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakar Hans Poppe, alinukuliwa akisema kuwa, baada ya
kumsainisha mkataba mpy kiungo wao, Jonas Mkude sasa wanamhitaji Msuva.

Hans Poppe alisema kuwa
dau la kuanzia kumsajil Msuva walilotenga ni shilingi laki tano, hiv
wanajipanga kutuma maombi
Yanga.

Happygod amesema aliwahi
kumpeleka mwanaye kwenye
timu hiyo lakini
walimwekea pozi.

“Unakumbuka kipindi kili Simon alikuwa akizomewa mara kwa mara na mashabiki wa Yanga? Basi nikaamua kwenda kuzungumza na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, walito
majibu ya dharau kila
nilipowapigia simu.

“Yanga imechangia kumle Simon mpaka hapo alipo baada ya kuanzia katika Academy ya Azam FC,
nilipoona hakuna maende
wakati akiwa chini ya I Cheche na Kali Ongala, nikampeleka Moro United ndipo Seif Magari
akamchukua na kumpeleka
Yanga.

“Hivyo kama Simba wanamtaka, wawafuate Ya kwa kuwa bado ana mkata lakini ukweli ni kuwa ninawashangaa hao Simba
wanamtaka Simon kwa kipa
alisema Happygod.

No comments

Powered by Blogger.