Header Ads

DIEGO COSTA ASAFIRI NA CHELSEA KUIFUATA MARIBOR


MSHAMBULIAJI Diego Costa ni miongoni mwa wachezaji 22 wa Chelsea walioondoka London kwenda Slovenia Jumanne kwa ajili
ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Kundi G dhidi ya Maribor Jumatano.

Chelsea iliifunga Maribor 6-0 wiki mbili zilizopita wakati Costa, akikosa mechi nne na sasa ams on a maumivu ya nyama kiasi cha
kucheza mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya QPR Jumamosi.

Mshambuliaji Loic Remy anayesumbuliwa na nyonga na kiungo John Obi Mikel anayeumwa
goti ndio majeruhi pekee watakaokosekana
katika mchezo huo, wakati kipa wa tatu Mark
Schwarzer anaweza kuanza.

No comments

Powered by Blogger.