Header Ads

Rais Kikwete atoka Hospitalini, Baada ya kupata nafuu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
amesindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins.

Alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika
hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments

Powered by Blogger.