Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli alikaribia kumpiga tele la uso mchezaji mwenzake, Matteo Darmian wakati mazoezi ya timu ya taifa ya Italia jana mjini Florence kujiandaa na mechi dhidi ya Croatia Jumapili.
Post a Comment