Header Ads

Rihanna Ameungana Tena Na Mashabiki Wake Instagram

Baada ya miezi sita ya Rihanna ameungana tena na mashabiki wake wanaotumia mtandao wa Instagram.

Rihanna mwenye watu wanaomfuatilia instagram milioni 13amerudi instagram na kuweka picha yake ikiwa na ujumbe wa“Hellurrr #badgalback.”

Kurasa yake ilifungwa May 2014 baada ya kuweka picha zake akiwa kifua wazi zilizopigwa kwaajili ya
jarida la ufarasa la Lui .Rihanna anatumia @badgalriri

No comments

Powered by Blogger.